ni nani timu mbili hizi zina historia ya kukutana mara nyingi sana kwenye mashindano ya kimataifa.katika mechi za kirafiki zilizopita mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2015 ambapo netherland waliibeba bosnia na herzegovina mabao 2-1,pia zilikutana kwenye mchezo wa kufuzu kombe la dunia mwaka 2013 ambapo netherland waliibeba bosnia mabao 3-0
ukiachana na historia mechi hii ilikuwa na ushindaniki mkubwa,wote walianza kwa kasi na nguvu,bosnia wakitumia mashambulizi ya kushtukiza wakati netherland wakitumia uimara wao wa timu,dakika ya 24 netherland walipata bao kupitia brobbey na kuipa netherland bao 1-0 hilo likafazaa woga kwa bosnia na kuanza kushambulia kwa kasi na kuanza kumiliki mechi,lakini netherland walikuwa imara sana hasa kwenye safu ya ulinzi ambapo van dijk alikuwa kama ukuta,hadi dakika 45 zinakamilika timu zote mbili zilikuwa zimeshindwa kufunga tena na kwenda mapumziko netherland wakiwa kifua mbele
kipindi cha pili kilirudwa kwa kasi na nguvu kila upande ukitafuta bao ili kujiongezea matumaini ya kusonga mbele kwenye hatua inayofuata,lakini uimara wa netherland hasa safu ya ulinzi ulifanya kazi kubwa kuzuia mashambulizi ya bosnia,kufikia dakika 90 kipenga cha mwisho kilipulizwa mechi ikiwa imesalia dakika 2 bosnia ndipo wakapata bao la kusawazisha kupitia demurovic,bao hilo liliipa bosnia matumaini na morari wa kusaka bao la ushindi,lakini netherland ndio walioonekana kutulia zaidi dakika za mwisho na kupata bao dakika 93 kupitia znarp na kuipa netherland ushindi wa 2-1,hiyo ilikuwa kama baridi kwa bosnia kwani walikosa matumaini ya kusonga mbele kwenye hatua inayofuata
kila la kheri netherland kwenye hatua inayofuata